Wateule ni kundi linaloundwa na vijana wanne ambao ni Juma aka J/moe,Jaffary aka Jeffray,Kevin kama Gado au Mlinzi mkuu na Jambazi Sugu ambaye hujulikana kama Mox
Kundi hili lilianzishwa mwaka 2000. Leo Wametoka na New Video inaitwa Msela, Inaflash Back za Mawingu "hoya Msela Hoya" back in the days, Enjoy.
tanzanian
Az16600 1 year ago
aisee ni noma aiseeee ful hipit
GAODET 2 years ago
mwanangu kipigo kikali!
nimekikubali!
big up bongoflava!
1 luv
salim01 2 years ago