Alert icon
We're changing our privacy policy. This stuff matters.  Learn more  Dismiss

Kizaazaa Cha Somalia

Loading...

Sign in or sign up now!
315 views
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Jun 25, 2009

Kenya imeongeza idadi ya wanajeshi wake katika maeneo ya mpaka wa Kenya na Somalia. Hali hiyo inafuatia hatua ya serikali kuimarisha usalama katika mpaka huo kufuatia tisho la wanamgambo wa al shabaab kutoka Somalia kutekeleza vitendo vya kigaidi. Katika kambi ya wakimbizi ya daadab, wasimamizi wanadai kuwa idadi ya wakimbizi 200 huwasili kila siku kutoka Somalia wanakokimbia vita vinavyoendelea kati ya wanajeshi wa serikali na wanamgambo hao.

Category:

People & Blogs

Tags:

License:

Standard YouTube License

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:

All Comments (0)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
Loading...
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more