http://www.ntv.co.ke
Shughuli ya kuwahesabu watu ilikamilika Agosti 31 na baadhi ya maeneo ilimalizika Jumanne huku iliaminika kwamba watu wote waliomo humu nchini walihesabiwa. Hata hivyo, imedhihirika kwamba kuna watu ambao hawajahesabiwa katika wilaya ya Samburu.
I saw from the news that enumerators were using maps, is this temporary bush camp mapped??? The answer is no. We ought to think hard to change such lifestyles, where people live like it's 3000 BC. Cattle herding the 'kuhamahama' way has no time in today's world, more so the drought plagued world.
mytime81 2 years ago
these chaps need food. They seem worried.
freegastanker1 2 years ago