Alert icon
We're changing our privacy policy. This stuff matters.  Learn more  Dismiss

TRACK :- JIRANI MCHOKOZI- GOSPEL MUSIC By MUNISHI - GTV

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
11,416
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Feb 21, 2008

TRACK :- JIRANI MCHOKOZI- GOSPEL MUSIC By MUNISHI - GTV Yalikuwa madukuduku, Kibaki akayafanyia kosa la kwanza kuiba kura, likazaa kosa la pili watu wasohusika na wizi wa kura wakahamishwa makwao, wengine wakauawa kinyama. Haikuishia hapo, Wakikuyu nao wakafanya kosa la tatu, Kuua wajaluo NAIVASHA na kuwahamisha makabila mengine kwao. Sasa kuna maongezi ambayo yanapaswa kusimamisha makosa yasiendelee, siyo kuhalalisha kosa la kwanza.Kama kuua wote waliua. Huwezi kuhalalisha wizi wa kura kwa kusema machafuko yalipangwa. Mwingine aweza sema hata wizi wa kura ulipangwa. Tatizo siyo kulaumiana, bali ni kusitisha makosa kwa kutofanya kosa la nne. Annan maji yakimzidia unga, litakuwa ni kosa la nne litakalozaa kosa la tano na kuendelea. Ni maombi yangu kwamba tutapata suluhu ili lirekebishe makosa yote matatu. Yakiwa mengi hakuna suluhu itakayoweza kuyarekebisha.

Category:

Music

Tags:

License:

Standard YouTube License

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:

Uploader Comments (gospelgtv)

  • About America and Britain, to Kibaki they are nothing. even Pastor Munishi is nothing to Kibaki. But if i were to meet Kibaki, This is what i would have told him. "Raila a Luo said Kibaki a Kikuyu tosha. Why is it so hard for Kikuyu Kibaki to say Luo Raila Tosha??????" Now you said HATOSHI, Kenyans said ANATOSHA. Why use ECK to rob Kenyans of their president????" That is what I want to ask Mr. Kibaki.

  • You can not steal polliticaly and hide in the law. This is what Kibaki is doing. "Siasa siyo taasisi, lakini wanasiasa huunda taasisi." "Wabunge hutunga sheria lakini haiwachagui" "Siasa ndio huzaa wabunge ambao hutunga sheria." "Makosa ya kisiasa lazima yatatuliwe kisiasa." KIBAKI ALIIBA KISIASA NA ANAJIFICHA KWENYE SHERIA. HAITAMSAIDIA. AJIUZULU SIASA IANZE TENA. SIYO KUWATUMA WATU MAHAKAMANI

  • Yalikuwa madukuduku, Kibaki akayafanyia kosa la kwanza kuiba kura, likazaa kosa la pili watu wasohusika na wizi wa kura wakahamishwa makwao, wengine wakauawa kinyama. Haikuishia hapo, Wakikuyu nao wakafanya kosa la tatu, kuwahamisha makabila mengine kwao. Sasa kuna maongezi ambayo yanapaswa kusimamisha makosa yasiendelee, siyo kuhalalisha kosa la kwanza.

see all

All Comments (4)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • a good video, watu waache fitina, hasa Wakenya.siasa si chakula tukose tufe na njaa.

  • Siasa yako imejaa upuzi,chuki and ugawanyaji..unahakika, hivi ndivyo bwana wetu yesu kristo angeaandika?baadala ya kuimba "niacheni niende nikahubiri injili "pengine ingekuwa vyema kama ungeimba niacheni nende kenya nikahubiri chuki,mgawanyiko and siasa duni yenye kukosa maendeleo....Kibaki na Raila wote wakenya kama mimi na wewe ni mkenya pia?

  • hahahaha lmaaaaooooeeeesssssstttttttt

  • Kibaki akubali suluhu. Yeye ndiye mwanzilishi wa haya. Watu wanamuonea haya kwa nini?

Loading...

Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more