Mgaagaa Jina lake halisi ni Githinji Mwangi, lakini muite tu kwa jina la utani mbusi, na asilimia kubwa ya vijana wa mjini washamtambua. Kijana ambaye ufasaha wake wa lugha ya mjini umekuwa na mnato kwa wengi, hasaa katika kipindi chake kwa anwani, goteana katika mojawepo ya kituo cha redio hapa nchini . Lakini je wafahamu changamoto alizozipitia kijana huyu, kabla ya kupata nafasi ya kupasua mawimbi kwa lugha ya mjini?... Basi joab mwaura, amejitwika jukumu la kukujuza mengi kumhusu mtangazaji huyu chipukizi , na sasa nampisha kwenye jukwaa la nipashe akusimulie zaidi kwenye makala ya mgaagaa na upwa
Kung'uta miwa kung'u kung'u!
supermashuhuri 3 weeks ago in playlist Features
i was like him --not able bodied ----SO I USED MY BRAIN
tamaduni 1 month ago
Nyahunyo nyau nyau!!!
Rebbzify 1 month ago
jah bless
ernestodimelo 1 month ago in playlist SIHA NA MAUMBIRE
Hakuna mbrrrrrcha. Keep up!
HCM50 1 month ago
Is this guy wearing pink pyjama trousers with little hearts on it? This gives you the feeling it don't matter what you wear to be successful
RonnieTYm 2 months ago
Laazzzzzzzima mtu wangu
Otahdem 3 months ago
my role model
dickyzz1 3 months ago
the real youth ambassador, sufferer, big up en keep it up mbuuusi! hakuna mbriiiii...
kiokda 3 months ago 2
hakuna mbrrrrcha. mbusi ametoka far
NKabogo 3 months ago