http://www.ntv.co.ke
Katika sehemu ya pili ya makala ya gharama ya uganga, upekuzi wa ntv umemfichua babu halisi ambaye amewatapeli wakenya maelfu ya pesa. Mmoja wa waliotapeliwa alilazimika kuuza gari lake la thamani ya shilingi laki nane akitarajia kupata utajiri mkubwa lakini kama anavyotuarifu Mustafa Mwalimu, babu anaishi raha mstarehe huku wateja aliowatapeli wakiendelea kuganga njaa.
hahaha u've got to be fuckin' kiddin me
allexus 1 year ago