Kufuatia uhasama uliokaba eneo la moyale mbunge wa eneo hilo mohamud ali amesema kuwa iwapo uchunguzi wa kina hautafanywa dhidi ya kamati inayosimamia usalama ya wilaya na mkoa huo, basi huenda vita hivyo vikasalia kuwa donda sugu. Zaidi ya watu 1500 kutoka moyale wamelazimika kuhama miji na kutafuta usalama huko ethiopia baada ya kushuhudia ghasia zilizojiri. Hii ni baada ya jamii mbili kuzozana kwa zaidi ya miezi miwili sasa.
@TheTruthilist ..Or is it Follow Up. Who knows?
ognyabayo 3 weeks ago
FLARE-UP! Not Fuck Up. lol
TheTruthilist 3 weeks ago
Haha...i like the clip title "Moyale fu#k up ethinc biases"I wonder what all that means?
phatriott 3 weeks ago
Nnmnkmjnmb/nnbbbbhjeejekkkwnajwjwwjbjekjlekpdo i
dbitok 3 weeks ago