http://www.ntv.co.ke
Kwa kipindi cha miaka saba iliyopita, idadi ya simba imeshuka kutoka 2,700 hadi 2,000 humu nchini. Sasa shirika la huduma kwa wanyama pori KWS, limeanza harakati za kuwaokoa simba waliosalia ili wasiangamie. Mbinu yao hasa ni kutumia mtambo maalum wa kuwafuata wanyama hao popote mbugani. Gladys Mutiso alishuhudia namna shughuli hiyo inatekelezwa katika mbuga ya Amboseli.
Mlimkatizia Kip raha zake!
Je, hamungeweza kuahirisha hizo GPS kwa wiki moja? Sasa Shiangige ametoweka porini!...na huo si ungwana!
siasabora 2 years ago