Majirani wamegundua mafuta. Kusini kwetu Mwadui na shinyanga na Geita wana dhahabu na Almasi chungu mzima. Afrika Mshariki tunaungana tena. Tumepata Chuo Kikuu Mkoani. Kila mtu ana fedha anataka kuzitumia mahali fulani. Basi tuwajengee Paradizo waje kurelax. Lazima tubuni mbinu za kuajiri vijana wetu mkoani. Kitegauchumi kama hiki ninapendekeza. Paradize Musila. Tulale Ntuloba. Lazima viundwe kusudi vielee (LVKV)
Link to this comment:
All Comments (0)