Waziri wa mawasiliano samuel poghiso ametangaza kwamba tume ya mawasiliano nchini inapania kufanya mashauriano na mdhibiti wa mawasiliano nchini uganda kuhusiana na lalama zilizopo kwamba raia wa kenya wanaoishi mipakani wanatozwa ada ya ziada ya kupiga simu. Hata hivyo baadhi ya wabunge walitaka shirika la safaricom kuwafidia raia wake ambao wametozwa ada hiyo lakini kwa mujibu wa poghisio shirika hilo halishiriki katika kutoza ada hiyo .jee anayetoza ada hiyo ni nani? Na jee kuna sheria za kudhibiti upeperushaji wa masafa ya mawasiliano?
Link to this comment:
All Comments (0)