Wakaazi wa Pwani sasa wanamtaka waziri wa uchukuzi Chirau Ali Mwakwere kujiuzulu wadhifa wake mara mmoja kwa kuzembea katika majukumu yake. haya yamejiri saa chache tu baada ya ferry aina ya MV Pwani kupoteza mwelekeo katika eneo la kupakia na kupakua mizigo na kuzua hofu miongoni mwa walioabiri ferry hiyo mapema leo asubuhi.
KTN, you fail hard...you have lost it all to NTV!
nedatronics 2 years ago
wtf, no sound? why did you even bother to upload the damn video?
krissjo3 2 years ago
hii nini? learn few things from NTV professionalism
robmunene33 2 years ago
Silent movie....
emigono 2 years ago