Hakuna cha kusherehea mwaka mpya, hayo sio matamshi yangu bali ya wakimbizi wa ndani kwa ndani ambao wamemaliza mwaka mmoja kwenye kambi. Huku baadhi ya wakenya wakisherehekea kwa mbwe mbwe wwakimbizi wa ndani kwa ndani walilala kwenye kambi zao huku kibaridi kikali kikiwakumbusha masaibu yao.
very very very very sad...Kenya never again never.The government must take care of these people.This is our shame...my heart goes to all the IDP's especially those with physical scares to show for it
odhiscroco 3 years ago