Mgogoro ulioko kati ya wakulima wa miwa eneo la nasewa katika kaunti ya busia na kampuni ya sukari ya Mumias unazidi kutokota. Wakulima wa eneo hilo sasa wamekata kauli ya kutopeleka miwa yao katika kampuni ya sukari ya mumias pamoja na kushinikiza kujengwa kwa kiwanda kipya katika eneo hilo. Haya yanajiri licha ya wakulima hao kuwa na kandarasi na kampuni ya miwa ya Busia iliyoko chini ya kampuni ya sukari ya Mumias.
Link to this comment:
All Comments (0)