Wachezaji wanne wa klabu ya sofapaka Wilson Oburu, John Baraza, John Mieno na James Situma huenda wakawa ndio tegemezi la ufunguo wa matokeo bora ya timu ya taifa harambee stars watakapocheza na Uganda cranes katika mchuano wa marudiano hapa jijini Nairobi. Harambee stars walishindwa bao moja kwa nunge na cranes na sasa matumaini yote ya wakufunzi ni kwamba wanne hawa halikadhalika Paul were watakuwa katika hali nzuri ya kuhimili ngome ya timu ya taifa.
Link to this comment:
All Comments (0)