http://www.ntv.co.ke
Mji wa Chuka katika jimbo la Tharaka Nithi ungekuwa umepiga hatua kimaendeleo kama sio taswira ya eneo.. Eneo hili liko milimani jambo ambalo limefanya ujenzi wa majengo ya kibiashara kuwa kazi ngumu. Baraza la mji wa Chuka limejaribu kukidhi mahitaji ya wafanyibiashara katika sekta ya jua kali lakini linatatizwa na mazingira asilia kwani uwanja ambao ujenzi unafanywa uko kwenye bonde.
@nutlil Are you Kenyan?
Kenyansoul 8 months ago