Serikali italinda waliojitolea kutahiriwa

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
8,425
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Oct 14, 2008

Baada ya Waziri Mkuu Raila Odinga kutoa changamoto kwa wanaume katika jamii ya waluo kutahiriwa kama njia moja ya kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi, hisia tofauti ziliibuka huku wengine wakimuunga mkono na wengne kumpinga, na baadhi yao kuanza kuwatahiri wenzao kwa lazima. Kutokana na hayo imeonekana ni vyema kuwepo kwa mikakati kabambe kuhakikisha kuwa wale wanao jitolea kutahiriwa wanafanya hivyo kwa njia iliyo sawa bila maambukizi au kutengwa na jamii. Ili kuafikia lengo hili serikali sasa imechukua hatua ya kutoa mwongozo rasmi.

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (2)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Very funny that the Luos were tricked into cutting off their cherished foreskin to keep off the virus. How many heads must some people have to know when they're tricked? Fimbo ya Moi!

  • who said cutting the fore skin can help prevent HIV infection?? i think people are dont have brains., how many cut people have HIV., a fool will get cut and start enjoying this thing ati reduced chances of getting infected.,HIV dont choose.,, cut or uncut,., better be educated b4 u go to have it cut., for those official jus bcoz they have a voice,, if they are checked., utayastahajabu ya firahuni.,.,

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more