Je huu ni mwaka wa miujiza, wa Mungu kuonekana au wa Vikombe?
Huko Tabora Uzuguni ameibuka Mama mmoja kwa jina la Margareth Mutalemwa akisema kuwa ameoteshwa na Bikira Maria kutoka KIKOMBE cha dawa maarufu kama Kikombe cha Bibi" kwa waitaji ili kutibu magonjwa sugu zaidi UKIMWI/AIDS kwa ghrama ya Sh 500/- tu,
Huyu ni wanne, alianza Babu w Loliondo kisha akasikika jamaa kule Rombo akafuata Mjukuu kule Mbeya na sasa ni Tabora,Je nani na wapi anafuata?
Link to this comment:
All Comments (0)