http://www.ntv.co.ke
Ushindani mkubwa wa kutafuta nafasi ya kwenda Msumbiji umekumba kambi ya Harambee Stars baada ya wachezaji waliokuwa wamejeruhiwa kufika kambini na kufanya mazoezi pamoja na wale walioitwa kuchukua nafasi zao. Hata hivyo. huo zaidi utakuwa langoni na safu ya mashambulizi. Ferdinand Omondi anakupasha habari hiyo.
Taiwo Atieno is a Kenyan-British or British-Kenyan who plies his trade in Puerto Rico with one of these MLS teams ... Scores alot of goals for his team but you know how guys dharau the MLS ...
Hopefully he scores some goals in Mozambique ...
kenyandamu 2 years ago
we need a new coach. The boys are not jumping the way they should. Have they been fed yet?
freegastanker1 2 years ago
OMONDI, everything about you is oversize, the thuti,tie,shirt, well I don't know about the shoes. By the way who is that guy taiwo Atieno? I just curious and ignorant, please indulge me
shondesmart 2 years ago