A rare video of a traditional Makonde dance with a mask. In the eighties when this video was taken you could still see old men with makonde tribal scars
Ngoma hizi nzuri mno. Hebu mniambieni Wamakonde, wakati wakucheza hino ngoma, wavaao vinyago ni watu wa cheo au heshima fulani katika jamii au huvaliwa na yeyote anayejisikia kukivaa. Nimejua sasa asili ya mdundo wa rhumba. Mdundo wa rhumba wafanana na mdundo wa ngoma za imakonde. Hongera Wamakonde.

simenyasikhulu 1 year ago
Home Sweet Home, PANGANI-TANGA katika sherehe za sabasaba wamakonde wa
Bushiri,Mwera,na Kilimangwidu, wakishindana katika uwanja wa comunity center.
1960-1970s.
MrIbrahimaa 1 year ago
wambadasi waneeeeeeeeembaaaaaaaa mupaliiiiiiiiii
topshotas007 2 years ago
my music
topshotas007 2 years ago