Asante sana ndugu. Nasikia na kuelewa vizuri sana. Yaani nikianza kusikiliza nyimbo zako na jinsi mlivyoimba, naona mwangaza mbele yangu na naamini Muumba wa vyote yuko na anastahili kuabudiwa. Tangu nifike hapa Norway sijasikiya nyimbo kama zako ne Bahati Bukuku. Yaani kama sijasikiya hizo kanda mbili, sijarizika. Nina hamu yakuwatembelea siku moje, kama Mungu anapenda. Endelea na kazi ya Mungu.
Cha msingi ujue kwamba kwenda mbinguni sio kama kanuni fulani ya fizikia kwamba ukichukua mbili ongeza tatu utapata mbingu. mkumbuke yule jamaa aliyesulubiwa na yesu, yeye alikuwa mwaminifu katika nafsi yake mwenyewe (kukubali uovu wako na adhabu unazopata) na alichokumbuka kusema ni Ee YESU nikumbuke katika ufalme wako na hakika aliingia mbinguni. Yule mwingine alikuwa mwaminifu katika mambo ya dunia hii -alikuwa bado anaitamani DUNIA
SHETANI ASHINDWE KWA JINA LA YESU. Amen.
GOOD SONG MY BROTHER.
focaisawiza7 8 months ago
Good bless you!!
MrAdija 10 months ago
Ni kweli kabisa kaka siyo wewe tu tuombeane kwa huo udhaifu
The90720 1 year ago
That is excellent music. It blesses me alot. Be blessed.Ochido from Kenya.
OCHIDO2006 1 year ago
Asante sana ndugu. Nasikia na kuelewa vizuri sana. Yaani nikianza kusikiliza nyimbo zako na jinsi mlivyoimba, naona mwangaza mbele yangu na naamini Muumba wa vyote yuko na anastahili kuabudiwa. Tangu nifike hapa Norway sijasikiya nyimbo kama zako ne Bahati Bukuku. Yaani kama sijasikiya hizo kanda mbili, sijarizika. Nina hamu yakuwatembelea siku moje, kama Mungu anapenda. Endelea na kazi ya Mungu.
Asante.
mlumba12 2 years ago
Waaminifu ndio watu gani, fafanua.
Cha msingi ujue kwamba kwenda mbinguni sio kama kanuni fulani ya fizikia kwamba ukichukua mbili ongeza tatu utapata mbingu. mkumbuke yule jamaa aliyesulubiwa na yesu, yeye alikuwa mwaminifu katika nafsi yake mwenyewe (kukubali uovu wako na adhabu unazopata) na alichokumbuka kusema ni Ee YESU nikumbuke katika ufalme wako na hakika aliingia mbinguni. Yule mwingine alikuwa mwaminifu katika mambo ya dunia hii -alikuwa bado anaitamani DUNIA
samwelalananga 2 years ago
God should help us, the message in this song,is absolute true, God help us, we need your help in the name of your dear Son, Jesus Christ, Amen.
mwambone 3 years ago
Shukrani for posting. Thanks.
LUK0BA 3 years ago
cant hide the feelins! nilisikia sana kwa basi za mbeya-tky-kyela.
tatuuzy 3 years ago
kwajina la yesu ashindwe shetani
asheilla 3 years ago