Waliosalia taabani baada ya tukio hilo la kusikitisha la mlipuko ni majeruhi waliouguza majeraha mabaya kwa kosa lisilo lao huku wengi wakieleza Ktn kuwa walikuwa tu wamefika uwanjani humo kuhudhuria mkutano wa sala ulioitishwa na viongozi wa makanisa. Mwanahabari wetu Carol Nderi amezungumza na baadhi ya manusura wanaoeleza kilichojiri japo wegi walipoteza fahamu na kujipata wamelazwa katika hospitali kuu ya Kenyatta.
Infact the government should pay these people's bills.
truphie 1 year ago
more tears why kill kenyans just coz of katiba,looser kenya will win forever
papaplus67 1 year ago
Poleni wakenya!God is on our side!
kushotto 1 year ago
thats not good sorry guys
kenyan007 1 year ago