http://www.ntv.co.ke
Imebainika kuwa takriban shilingi milioni 131 zimefujwa katika wizara za elimu na mipango maalum. Hii leo (Jumatano) alasiri, maafisa 50 wanaosimamia miradi miwili katika wizara hizo wamesimamishwa kazi kufuatia uchunguzi wa tume ya kukabiliana na ufisadi. Maofisa hao walitumia hila na udanganyifu kupora fedha za miradi ya mpango wa elimu, pamoja na ile ya maendeleo ya magharibi mwa Kenya inayofadhiliwa na benki ya dunia.
this thief uhuru agen pretending tht hes treating it as a serious case. wat abt the money n land ur dad took.
emashcmb 2 years ago
The big dogs don't steal "relatively small" amounts of money like that. Remember Divani who stole 7B and fled to india, that is a kenyan job. Why? cause the Kenyan gov would die before they let 1 indian guy put them to shame like that. Same deal with Patni. They are scapegoats on commission with the gov capitalizing on stereotypes that Kenya has on Indians. This time they'll be jailed cause they r small fish.
daniells71 2 years ago
its we eat we eat eat...Ringera is toothless....Uhuru..wacha upaka waKenya kwa maneno maneno maneo..... its a grand scheme to loot the government coffers before 2012...so that the next bugger on the seat also suffers a great deal to fix our failed country KENYA
aokoh 2 years ago
WB probably pushed hard for the audits and action against the thieves. Give us their names!
siasabora 2 years ago