@kamutabe Kila mtu ana haki ya kikatiba ya kutoa maoni yake hata kama ni mwinjilisti. mwacheni atumie haki yake hata kama ni mchungaji mwacheni tu. Katiba ya nchi haitambui watu kwa makundi au kazi zao bali kwa uraia wao. Ningependa tumsikilize alafu tumuache aendelee kusema.
Kwani siasa ni mali nya mutu, nani kasema kuwa mchungaji hasijiusishe na siasa, Kwani siasa mbovu hazimuadhiri. Kila mtu anahaki ya kusema bila kujali yeyen ni mwalimu au mchungaji.
CCM wanakutishia maisha una nini wewe...u r too insignificant for CCM t notice u.....achana na siasa, u r a religious leader act like one, stop hoing into the world of politics
Umeanza kuzeeka kaka
ceekei1 3 months ago
sema mchungaji mungu yupo sema usihofu zaburi 23
Alunezz1 4 months ago
ukweli ni mchungu lakini niambie usinifiche
MrMariera 1 year ago
I like this Mtumishi
nyangala 1 year ago
@kamutabe Kila mtu ana haki ya kikatiba ya kutoa maoni yake hata kama ni mwinjilisti. mwacheni atumie haki yake hata kama ni mchungaji mwacheni tu. Katiba ya nchi haitambui watu kwa makundi au kazi zao bali kwa uraia wao. Ningependa tumsikilize alafu tumuache aendelee kusema.
kasya1983 1 year ago
Kwani siasa ni mali nya mutu, nani kasema kuwa mchungaji hasijiusishe na siasa, Kwani siasa mbovu hazimuadhiri. Kila mtu anahaki ya kusema bila kujali yeyen ni mwalimu au mchungaji.
kasya1983 1 year ago
CCM wanakutishia maisha una nini wewe...u r too insignificant for CCM t notice u.....achana na siasa, u r a religious leader act like one, stop hoing into the world of politics
kamutabe 1 year ago
Tangaza Dini."Neno la Bwana" Achana na siasa
metalicsmile80 1 year ago
Ur one of them,dont waste our time mr pastor.meaning of ccm...christian church movement
mzenjibar 2 years ago