Shughuli za kusahihisha mtihani wa KCSE katika kituo cha Shule ya Upili ya Nairobi School zilisitishwa Jumatatu asubuhi baada ya watahini wanaosahihisha somo la insha kufanya mgomo baridi. Watahini hao wanataka kuongezewa ada wanayopata kwa kila karatasi.
Link to this comment:
All Comments (0)