Nakushukuru kwa kaswida zako nzuri, ila mimi ninao ushauri, ustadhi umejaliwa sauti nzuri hivyo unao uwezo mkubwa wa kuweza kuielimisha jamii kupitia kaswida, nakuomba basi jaribu kutunga kaswida zenye mwelekeo wa dini badala ya hizi ambazo zina onekana kama taarab. chukuwa mafundisho ya quran pamoja na adith, kwa mfano unapo imba kuhusu mama eleza kwenye qurani Mwenyezi mungu ana semanje, au adith Mtume anasemaje na mengine mengi. nikatika kurekebishana inshallah
mashallah
sitko109 1 week ago
wow mashallah naipenda sana hii qa swida mashallah ! ah karibu tutawashinsa indonesian hehe lool
yaya6816 2 months ago
assalam alaykum Ustadh,
Nakushukuru kwa kaswida zako nzuri, ila mimi ninao ushauri, ustadhi umejaliwa sauti nzuri hivyo unao uwezo mkubwa wa kuweza kuielimisha jamii kupitia kaswida, nakuomba basi jaribu kutunga kaswida zenye mwelekeo wa dini badala ya hizi ambazo zina onekana kama taarab. chukuwa mafundisho ya quran pamoja na adith, kwa mfano unapo imba kuhusu mama eleza kwenye qurani Mwenyezi mungu ana semanje, au adith Mtume anasemaje na mengine mengi. nikatika kurekebishana inshallah
mswadiku 3 months ago
wewe unaye sema wahaharibu qaswida tunga yako yuone!
makandis 4 months ago
hawa wanaharibu usafi wa uislamu.
wamefwata nyayo za manasara, manasara waimba kwaya na wao wakaleta yao.
uislamu hauna miziki wala dansi. hizo ni mila za kikafiri.
rudini ktk uislamu safi wa Mtume na masahaba zake.
uislamsafi 4 months ago
Hii sio qasida kabisa! ni zaidi kama modern taarab.
shillingandpence 4 months ago
asanteni saana kwa qaswida nzuri.mungu awabarik :)
ibbe51 5 months ago