Wiki jana tulifungua pazia ndani ya magerezani yetu na kukufahamisha kuwa mambo yanayoendelea humo ni ya kustajaabisha. Kwa wengi imekuwa masaibu ya wafungwa ndio yanapewa kipao mbele lakini hata askari jela nao walionyesha wana kilio chao- kazi yao si ya kutamaniwa. Tunafunga wiki na taarifa kutoka gerezani na hasa gereza la Kamiti- lakini leo ni mgomo wa kususia unaoendeshwa na wafungwa wenye hukumu ya kifo.
he is one of my best reporters in kenya..i miss him
shakkyz87 3 years ago
yep, I like him too, one of Kenya's most aggresive investigative reporters and the good use of Swahili does'nt hurt neither.
daniells71 3 years ago
i like this reporter
fitahnz 3 years ago