Kenyan soldier killed - Swahili

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
2,113
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Nov 24, 2011

Mwanajeshi mmoja wa kenya anaripotiwa kuuawa, na wengine wanne kujeruhiwa vibaya baada ya gari walimokuwa wakisafiria kulipuliwa kwa bomu. Shambulizi hili linalodaiwa kutekelezwa na wanamgambo wa al-shabaab lilitokea huko mandera mpakani mwa kenya na somalia. Msemaji wa jeshi meja emmanuel chirchir kwa upande wake alikanusha ripoti kwamba ni wanajeshi 11 waliojeruhiwa kati ya 13 waliokuwa ndani ya gari hilo. Mlipuko huo ulitokea wakati wanajeshi hao walikuwa wanashika doria katika eneo hilo.

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (3)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • @riakanauproper malaya wewe

  • kill ALL Kenyan troops inside Somalia...

Loading...

Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more