Jamaani umenifanya kyasahau matatizo ambayo niliyo kuwa nayo kwa sababu ya nyimbo yako. Kusema kweli nimeburudika sana tena nimefarijika sana. Mungu azidi kukuzidishia nguvu na kutuombea sana sisi tulioko Marekani kwa kuwa tuko kwenye giza kali. Mzidi kutuombea sana. Ni mimi Alphonse Nikiza.
Mapito yangu nai magumu sana baba unitetee nashukuru kwa wimbo huu maanake unanipa nguvu ya kuendelea hata kama ninapitia magumu wakati huu kwa maisha yangu...Ahsante sana dada Upendo kwa nyimbo za kufariji na pia za kutia moyo najua nyimbo hizi zina upako wa roho mtakatifu mungu akutendee mema na akuzidishie milele!!!
My God, help me..... plant a seed inside me to hold the troubles am facing...niteteee Mungu wangu, watu wangu wananigeuka...mali ni nini kwako? kazi ni nini kwako? watoto wanakosa gani Mungu mpaka familia yangu wamkatae nimpendae Mungu wangu..kisa ana watoto,kisa mfanyabiashara tu,kisa hana nyumba,kisa hajasoma? God, ebu tuteteee tuteee kwa hili...nakuitaji now God, sili,silali,shetani ananifwata na kunishawishi vingi nifanye..ila niteteeee my GOD.....siwezi mwenyewe,my GOD do something....
Thank you Lord for defending me,things are now under control......This song gave me the strength to believe in God,I cannot believe what has happened.A great miracle Indeed.God bless you Upendo Nkone.
You are really a blessing to many. Umegusa wengi kwa ujumbe wa nyimbo zako. May God bless you.
denomuge 3 weeks ago
Bwana nitetee pia mimi c ku zote
erickkimutaikikwai 3 months ago
Jamaani umenifanya kyasahau matatizo ambayo niliyo kuwa nayo kwa sababu ya nyimbo yako. Kusema kweli nimeburudika sana tena nimefarijika sana. Mungu azidi kukuzidishia nguvu na kutuombea sana sisi tulioko Marekani kwa kuwa tuko kwenye giza kali. Mzidi kutuombea sana. Ni mimi Alphonse Nikiza.
MrMosca01 4 months ago
a beautiful women with a graet voice and soul.
rwkg1 4 months ago
BEST SONG EVER. I LOVE THIS SONG SO SO MUCH, NOT ONLY IS IT A PRAYER IN A SONG BUT ALSO A TESTIMONY IN A SONG, ITS WORSHIP AND PRAYER ALL IN ONE.
imelda4jesus 7 months ago
Mapito yangu nai magumu sana baba unitetee nashukuru kwa wimbo huu maanake unanipa nguvu ya kuendelea hata kama ninapitia magumu wakati huu kwa maisha yangu...Ahsante sana dada Upendo kwa nyimbo za kufariji na pia za kutia moyo najua nyimbo hizi zina upako wa roho mtakatifu mungu akutendee mema na akuzidishie milele!!!
MultiPRETTIE 7 months ago
JAMANI WATANZANIA WENZANGU MNAOPENDA MUNGU NA NYIMBO ZAKE
MILCA KAKETE
IS RELEASING A BRAND NEW ALBUM
UrbanBeauTy1993 9 months ago
My God, help me..... plant a seed inside me to hold the troubles am facing...niteteee Mungu wangu, watu wangu wananigeuka...mali ni nini kwako? kazi ni nini kwako? watoto wanakosa gani Mungu mpaka familia yangu wamkatae nimpendae Mungu wangu..kisa ana watoto,kisa mfanyabiashara tu,kisa hana nyumba,kisa hajasoma? God, ebu tuteteee tuteee kwa hili...nakuitaji now God, sili,silali,shetani ananifwata na kunishawishi vingi nifanye..ila niteteeee my GOD.....siwezi mwenyewe,my GOD do something....
Gracejuliana1 10 months ago
@tutasematu sana
imelda4jesus 10 months ago
Thank you Lord for defending me,things are now under control......This song gave me the strength to believe in God,I cannot believe what has happened.A great miracle Indeed.God bless you Upendo Nkone.
TheMariakani 10 months ago