KATA MWANANGU KATA
Uploader Comments (bamariz)
Top Comments
-
Im not kenyan but i heard a woman from kenya singing this song on come dine with me and i love it!
-
Name of the song: 'Kata Mwanagu' . Artist: The Kilimanjaro Band from Dar-es-Salaam, Tanzania.
All Comments (84)
-
wazee wacheni vitana tuendeleze lugha yetu ya kiswahili kweli twajua sisi wakenya kiswahili yetu si sanifu kwas kusema lakinin kisarufi tuko mbele zenu,inawaje tume kumbwa na luhga zetu
-
Don't know about this particular upload lakini kusema ukweli, I think the only thing Kenyan here is the woman in jeggings...... lol
-
love it. sole gyration
-
Wakenya kila kitu yao,hivi hata huu wimbo mkisikiliza hamwoni tofauti na kiswahili yenu ya kishenzi?wakenya kweli mikundu.
-
@abdulkasim47 sasa rafiki yangu, mbona mnaheshimu mipaka ya wakoloni? Kwa hivyo mkoloni angeamua kwamba kenya na Tanzania ni nchi moja Kenzania, basi mngesemani jamani? Kuwa mziki ni wa wapi na kiswahili ni cha nchi gani? Ukweli ni kwamba kiswahili ni cha nchi zote kwa sababu kilizungumzwa pwani kwote kuanzia somalia hadi kusini Tanzania.
-
Wimbo ni wa Mombasani, kwani mbona tenda kuna tashwishi? Hapa ni mombasani dooh! Nyumbani tena sana. Aangalia viuno ujionee. Viono vya wabongo kama kawaida ni vinene kidogo, kwa hivyo haviwezi kukatwa kitaalamu na kichakacha tunavioona kwenye video. Siku njema Waafrika Mashariki! Tuko pamoja! Mola azidi!
-
@nocky137. This ain't no Zimbabwe thing. This is Kenya damu. This is how we do it.
-
I Love mama land Africa. Nice Kenyan Chakacha
This song iz frm mombasa!wacheni ukabila,chuki,ma2c etc enjoy da song...nice weekend ol
bamariz 2 months ago