Operation Linda Nchi - Al shabaab panic - Kisw

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
5,739
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Nov 22, 2011

Jeshi la kenya leo limeonya kuwa wanamgambo wa al-shabaab wananuia kutumia propaganda kuzusha taharuki miongoni mwa wakenya. Jeshi limesema limepokea taarifa kuwa wanamgambo wa Al-Shabaab wanapanga kutoa kanda za video zinazoonyesha kukamatwa na kuuawa kwa wanajeshi wa kenya ambao wanadai waliwateka nyara.
Msemaji wa jeshi meja emmanuel chirchir amesema hakuna mwanajeshi yeyote wa Kenya ametekwa nyara na wanamgambo hao. Na kwamba baada ya kuhisi wamelemewa Al-Shabaab sasa wanatumia propaganda kusitiri ubabe wao. Kenya imeshikilia kuwa hujuma za kuwakabili wanamgambo wa al shabaab zinaendelea vyema. Kulingana na meja chirchir, kikosi cha kenya kilichoko somalia wakishirikiana na wanajeshi wa serikali ya mpito ya somalia wamefanikiwa kusitisha biashara ya silaha zinazouziwa wanamgambo hao.

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (1)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • quite something

Loading...

Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more