Twanga Pepeta (African Stars)- Mtu Pesa
Uploader Comments (KINGAJA)
All Comments (45)
-
TAKE CARE ABOUT THIS GUY KOLONGA. HE IS RACIST, HATES SOUTHAMERICAN WHITE PEOLPE. BUT WE ARE NOT RESPONSABLE ABOUT THE ENGLISH MEAT TRADERS MADE IN THE PAST AGAINST HIS RACE.
-
He is from Tanzania, but this music seems like soukouss of Congo (wonderful stuff!) Can anyone direct me to some artists of bongo flava?
-
Twanga kipindi hicho walikuwa bomba na makini
walitulaza inje sana hasa wanapobiga maeneo ya Ilala huwa kuna kuwa na jimama mkundu huo lazima ujitose mpaka usiku wa manane
-
TZBoy uko wapi tafadhali sana muheshimiwa enjika hewani kibao cha KISA CHA MPEMBA. ili tuone visa vyake aisee..
-
These guys are really professionals, just listen to this guitar piece right here 03:30
-
twanga pepeta nimpenda mwenyewe! i miss this music!
-
can you plse upload JIRANI BY TWANGA PEPETA
-
haya kaka nisamehe!
-
acha zako zakuleta! we sini mtu mzima na kukaa una andika mambo ya kihuni.
oya kingaja tuwekee na segere basi maana unatuletea uhondo mtupu.
salum4eva 4 years ago
Segere sijafanikiwa kupata Video yake, ila nina audio. Ila nitajaribu kuulizia tena. Ila kuna mwimbo wa Bwana Misosi "Mabinti wa Kitanga", kuna kipande wanapandishia mapigo fulani kama ya Segere, nitakutafutia video yake. Segere ndio mambo yangu kaka.
KINGAJA 4 years ago
KINGAJA haya ndio maneno baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabaaaaaaaaaaaaakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..!!
Tafadhali sana post video nyingine mukubwa..
Tko mbali mshikaji..
Asante sana..
intrepeco 5 years ago
Usijali Mkubwa, mambo mazuri yanapo patikana lazima tuna share. Si unajua tena ukisha kuwa mbali na nyumbani. Shukrani.
KINGAJA 5 years ago