Zanto - Bibiti Kiziwi
Top Comments
All Comments (73)
-
this is dopeness defined
-
@thepeoplejohn upload it and write that if u did that there would be no problem do it urself sucker
-
@MrMutay coz we love you guyz n also we promote the artists not people like uuu(just saying)
-
Tanzania mpo juu kimziki kuliko Kenya. i wonder why Kenyans promote Tanzanians music as if it is a Kenyan music. You Kenyans, why cant you promote your local musicians?
-
yani ilikuwa shida kubwa kabisa yani lakini naweye ulifaa jitaidi kabisa kwakumuonyesha mapenzi ku chapa ma pictures napata lesson kwa nyimbo iyi kabisa thank u for singing binti kiziwi
-
@Vimalish15 The music is from Tanzania!!!. i dont know why the dont say that in the description.
-
i llve di song dhat girl is soo pretty...
-
@Eric2Susu nope lyrics are not by Eric....i know the the ghost writer to this song
-
i love this song..
-
nice song
Verse 1
Nimpate vipi mi sijui, ninaimani mapenzi hayajuiiihi
Nitapata ugojwa wa moyo, kwa sababu ya mawazo
Ninavyojuwa maisha yake, hajawai kuwa na boyfriend
Ila ni mimi wakwanza naninashindwa kumpata
Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti ninamzingua
Eti ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu angeujua
Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti ninamzingua
Eti ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu angeujua
Eric2Susu 1 year ago 12
Album: Binti kiziwi
Artistes: Zanto, Pingu
Language :Swahili
lyrics Writer: Eric Mwizerwa
HEY VOTE UP PLEASE
Eric2Susu 1 year ago 9