Sugar: the ripple effect - Swahili

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
138 views
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Aug 27, 2011

Takriban miaka kumi iliyopita, kenya ilipewa nafasi ya kuimarisha sekta yake ya sukari, ikiwemo kuimarisha sera na uzalishaji. Hata hivyo katika miaka hiyo kumi, sekta ya sukari nchini imetawaliwa na gharama ya juu ya uzalishaji, na hivyo basi kuchangia kwa viwango vya chini vya sukari ambavyo haviwezi kumudu mahitaji ya sukari kwa taifa hili. Na huku makataa iliyotolewa kwa mataifa ya comesa kuanza kuuza sukari humu nchini ikielekea kuisha mwezi machi mwaka ujao, ni wazi kwamba sekta ya sukari humu nchini haitaweza kupambana na mataifa mengine kama swaziland na malawi ambayo yamestawisha sekta zao. Humu nchini wafanyibiashara wanasubiri kwa hamu kwa makataa hiyo kuisha, huku wakiendelea kukadiria hasara kuu kutokana na gharama ya juu ya sukari. Esther kahumbi na taarifa kamili

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (0)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
Loading...

Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more