Huenda mchuano wa timu ya taifa harambee stars dhidi ya Guinea Bissau ndio uliokuwa wa mwisho kwa kocha Twahir Muhiddin. Duru zilieleza Ktn kwamba wadhifa wa ukufunzi utatangazwa hadharani kwa yeyote aliye na uzoefu kutwaa nafasi hiyo licha ya Muhiddin kushikilia kwamba habanduki kutoka wadhifa huo.
Is that a new coach for harambee stars? pandhree who knows nothing about soccer?Well!Good now they've got a new football four lane pitch.Go stars go!
kushotto 1 year ago
Only in The Standard! Damn it!
watuwakebaba 1 year ago
Wow ,are you sure this is "Harambee Stars"?? Only in the Standard!!
thepolarden1 1 year ago
dawn
TheVMFA333 1 year ago