ndio mama ni kuendelea ku jhifunza kiswahili, hata hapa marekani wanasema eti niwafundishe kiswahili.nami natoka burundi. sio burundi hata na kenya rwanda uganda na est congo wanajhuwa kiswahili pia
yeah ,msitulee hapa afu kina wanaijeria wakishindaga mtv africa mnasema sababu wanajua kigreza,wakati mnawambia wabongo kizungu akina maaan,acheni ushombo,kienglish ni lugha ya mawasiliano duniani acheni upotofu..nenda gym ukatoe minyama ya uzembe ,na hilo dume nalo alina kaili kabisa eti mkoloni,puck you.
Bwana Bausharaf kweli wewe ni mkufinzi tosha. Kila nionapo jumbe zako napata elimu kamili ya lugha ya Kiswahili. Nimefurahia kusikia Kijapani katika wimbo huu (1:05). Niliupata zamani nikiwa bado Nairobi walakin sikuwa naelewa lugha ya Kijapani wakati huo. Kiswahili kitukuzwe, japo lugha za mtaani kama vile sheng' na Eng'ish pale Nairobi, na kwa sasa hili neno mpya Swanglish toka Bongo zina adhari si haba.
Nipo Japani pia. Hongera kwa kunena Kiswahili, japo naona ulituma ujumbe wako miaka miwili iliyopita. Mimi ni mtoka Kenya toka Meru na mwanafunzi wa Chuo Kikuu. Unaishi wapi Japani?
haha skilizenu watoto mtajifunza ! xD
Seamzi 1 year ago
mna sauti nzuri sana mkiimba pamoja hivi kunani mpaka mkasambaratika? kiswahili kipo juu asante sana J.K.Nyerere
lulu201010 1 year ago
ndio mama ni kuendelea ku jhifunza kiswahili, hata hapa marekani wanasema eti niwafundishe kiswahili.nami natoka burundi. sio burundi hata na kenya rwanda uganda na est congo wanajhuwa kiswahili pia
Jean62877 1 year ago
yeah ,msitulee hapa afu kina wanaijeria wakishindaga mtv africa mnasema sababu wanajua kigreza,wakati mnawambia wabongo kizungu akina maaan,acheni ushombo,kienglish ni lugha ya mawasiliano duniani acheni upotofu..nenda gym ukatoe minyama ya uzembe ,na hilo dume nalo alina kaili kabisa eti mkoloni,puck you.
TheZepporah 2 years ago
Bwana Bausharaf kweli wewe ni mkufinzi tosha. Kila nionapo jumbe zako napata elimu kamili ya lugha ya Kiswahili. Nimefurahia kusikia Kijapani katika wimbo huu (1:05). Niliupata zamani nikiwa bado Nairobi walakin sikuwa naelewa lugha ya Kijapani wakati huo. Kiswahili kitukuzwe, japo lugha za mtaani kama vile sheng' na Eng'ish pale Nairobi, na kwa sasa hili neno mpya Swanglish toka Bongo zina adhari si haba.
mytime81 2 years ago
Nipo Japani pia. Hongera kwa kunena Kiswahili, japo naona ulituma ujumbe wako miaka miwili iliyopita. Mimi ni mtoka Kenya toka Meru na mwanafunzi wa Chuo Kikuu. Unaishi wapi Japani?
mytime81 2 years ago
lol
MadhiGurl 3 years ago
hata mombasa wana sheng yao.so pure swa imeisha imebaki ya kupita mtihani darassani tu then kule nje.....siunajua
tmdredy 3 years ago
she is our queen latifa...
hakim01 3 years ago
I dunno wat that meanz but it sounds really good n the videos cool
XxBLiiiNGxX 3 years ago 2