Nyerere's meeting with journalists in Dar es salaam, Tanzania 1995. Among issues discussed include: The expected October 1995 Presidential election and the status of the Union of Tanganyika and Zanzibar
Yani nimeshangaa watu wachache sana wameangalia au ndio watu wanapenda kuangalia vitu vya kipuuzi na si maneno ya busara kama haya kweli Tanzania nakupenda
RIP Nyerere..kweli ulikuwa kiongozi...
SuperDinaf 4 months ago
mzee kama aliota,mambo yote aliyoongea yanafanyika sasa hivi
doctorisaa 6 months ago
@MrKishimundu Sema wewe Mr Kishimundu.. watu hawapendi ukweli..
intrepeco 11 months ago
Hakujatokea mfano wake huyu mzee,waliomfuatia ni basi tuu, bora liende
Chakaza 1 year ago
Yani nimeshangaa watu wachache sana wameangalia au ndio watu wanapenda kuangalia vitu vya kipuuzi na si maneno ya busara kama haya kweli Tanzania nakupenda
MrKishimundu 1 year ago
RIP baba...Daima tutakuenzi
TzVc100 1 year ago