Alert icon
We're changing our privacy policy. This stuff matters.  Learn more  Dismiss

Maajabu Loliondo Pt. 1

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
25,505
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Mar 22, 2011

http://www.ntv.co.ke
Tangu jadi wachungaji na wahubiri na baadhi ya wanaojiita manabii wamekuwa wakidaiwa kufanya yale ambayo yameshindikana kufanyika kupitia sayansi ya kisasa. Yaani kuponya wagonjwa kwa kumshika kwa mkono, au kupigwa na upepo au kwa kutumia njia ya ajabu. Lakini ni wachache kama wapo ambao wanaponya kwa imani. Katika miezi michache iliyopita maelfu ya watu wa matabaka tofauti wanamiminika katika kijiji kimoja kaskazini mwa Tanzania ili kupata kikombe cha dawa kutoka kwa aliyekuwa mchungaji wa Kanisa la Lutheran, Ambilikile Mwasapile. Mzee huyo wa umri wa miaka 72 anasema kuwa anaweza kutibu magonjwa sugu kama ukimwi, saratani na hata kisukari. John-Allan Namu ambaye amerejea ameandaa sehemu ya kwanza ya makala yafuatayo ya maajabu loliondo ambayo yamesomwa na Rashid Abdallah.

  • likes, 1 dislikes

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (15)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • i have met many in this area of maasai mara who hve visited Ambilikile (loliondo) and are healed of their diseases surely God has done great.peter maluki

  • Tafadhalini Mtafuteni Yesu. Kuna Mtumishi wake nchini Nigeria. Aitwa TB Joshua.

    Angalieni Emmanuel Tv . Pia wwwscoan dot org

  • @kamatamwizibab

    Yes! :)

  • someni matayo 24

  • hatari sana the bad thng is that this place is so remote and there are no social services infrastructure that can accomodate such number of people. Watu wanakufa kila siku huko. Mi sijui ila kama hili ndilo jaribu la imani basi mimi nimefeli ila imani yangu iko kwa Yesu Kristu wa Nazareti!

  • i dnt know really bt i dnt believe it im a christian bt i dnt believe that ths man can courier people

  • i swear.........no comment.am just proud to be african.

  • Idiocy and conman-ship

  • This is why I love Africa. Things and People never cease to amaze me.

  • bullshitttt urongooooooo

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more