Kitchen Party
Loading...
89,007
Loading...
Uploader Comments (likedatshorty)
see all
All Comments (33)
-
maskini! mungu akupunguzie adhabu ya kaburini na akusamehe madhambi yako.
-
lov this song
-
lov this son
-
kitu kimetulia.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
-
i cant believe this guy is dead peace and love for ever omari kopa
-
i like it
-
Dah! Nakumbuka enzi hizo nipo Dar (Mbagala). Duh!!!!
-
@ngwaja Mrafiki ya ngu, mimi natoka jamestown south americano. Kama mimi na kosa nisamehe. bariki Allah.
Loading...
Ungetumia jina la kiswahili, Sio Kitchen
Generalidibabu 3 years ago
Wimbo ndio uitwavyo sasa vereje miye nikabadilishe jina?. Hakuna jina lengine la kiswahili zaidi ya "Kitchen party" .....
likedatshorty 3 years ago
yaaaaap ahsante kaka kwa kuniwekea hii clip
huyukijana anaimba si mchezo sauti tamu beat imetulia vinanda mwake mwao yaani kiumjula bomba sanaaaa...kaka naomba sasa uniwekee kitchen party part 2 kuna sehemu anasema utaliona joka li bwerere... he he he
mahadhy 4 years ago
hehehe jamani mie ni dada sio "kaka" lakini nadhani part two yake unaongea "Unyago" sababu akuna part two ya kitchen party. Ntaeka hiyo nikipata picha za Omar.
likedatshorty 4 years ago
wow ! nice sweety nimependa kama nilivYokupenda wewe mwaauh umejitahid ..;-)
ADnaboY 4 years ago
Lol huna khadabu we mtoto, muone vile sema nimefanya vizuri . tehehehe seriously my first video nimejitahidi thanx for the comments doe. Haya nikacheze mie
likedatshorty 4 years ago