Alert icon
We're changing our privacy policy. This stuff matters.  Learn more  Dismiss

Wakili Kiplagat adai 3.4B

Loading...

Sign in or sign up now!
Alert icon
Upgrade to the latest Flash Player for improved playback performance. Upgrade now or more info.
2,184
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Mar 23, 2010

Wakili Kenneth Kiplagat ameipeleka serikali mahakamani kudai malipo ya shilingi bilioni 3.4 kwa kuishughulikia kesi dhidi ya serikali katika mahakama ya kimataifa jijini hague nchini Switzerland. Kesi hiyo iliwasilishwa na kampuni ya world duty free kulalamikia kunyimwa biashara na serikali. Wakili Kiplagat amemtaka jaji wa mahakama ya mizozo ya kibiashara kuamuru kulipwa fedha hizo huku mkuu wa sheria Amos Wako akipinga vikali kesi hiyo.

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (1)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Ati billioni tatu!! Hata hana aibu.

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more