TRACK MPENDE ADUI (love your enemy) BY PASTOR MUNISH on GTV
Uploader Comments (Munishi2)
All Comments (42)
-
this is how we sing gospel ..love you men
-
makes me recall this guy called duncan muvele he used to sign it day in day out
-
May God bestow grace on you
-
bana maneno yako niyaukweli ispokua vichwa za watu sijui vile ziko lakini tufayeje jameni!
-
WoooooooooooooooooooooW best video ever!
-
Jesus bless you and bring you to light and you will alway wont walk in darkness no longer. HAIL JESUS ALWAYS. IN JESUS NAME I ASK gOD TO LETYOU SEE THE LIGHT. AND SHETANI ASHINDWE KATIKA JINA LA YESU
-
jesus bless us all and forgive the misguided. god is supreme non but he is the only God and jesus his only son. nothing is impossible with that combination and the key is the prayer. Hail jesus
-
mungu akubariki sana.
-
God have mercy on you, you are totally lost, seek salvation now before its too late, please seek salvation today!
-
Wow Why shouldn´t I believe in God?
Mwisho wa CCM umefika. Vijana wengi hawakubaliani na mawazo ya CCM yaliyopitwa na wakati.Wameamua kwa njia zote lazima CCM watoke madarakani. Wanataka mawazo mapya. Nasikia wanamuandaa mtoto wa Mwinyi awe Rais baada ya KIKWETE. Sina tatizo na kijana wa Mwinyi, lakini ikiwa atatoka CCM hakuna jipya.
Munishi2 4 years ago
Wamelewa madaraka hata hawajui wafanye nini. Wanachojua ni kuwaburuza watanzania kwa bunduki. Wanasema wameleta amani kumbe umasikini ndio wanaouita amani. Kwao watanzania kuwa masikini ndiyo raha yao ili wawatawale vizuri.Tumewashitukia matapeli wakubwa hawa. CCM ni CHAMA CHA MATAPELI. Hatuwataki Tumewakataa na Hatuwakubali.
Munishi2 4 years ago
mchungaji gani huyu ni mwanaharamu tu kumamako
kullaten 4 years ago
CCM hawana hoja.Kama hawatatumia matusi watatumia vyombo vya dola kutisha watanzania. Ni chama cha wahuni. Wanajibandika shahada ambazo hawana. Wabunge wa CCM karibu wote wana vyeti bandia. Wanajiita madaktari wakati hawajahitimu kwenye chuo chochote. Nyerere aliwaacha mbumbumbu makusudi ili waendelee kusema zidumu fikra zake. Hakutaka wafikiri. Hata hapa kinachowasumbua CCM ni kwama Munishi nimethubutu kufikiri na kusema. Inawauma sana. Wacha waumie siwaombi msamaha.
Munishi2 4 years ago
Ikiwa mnataka basi tutengane. Wana dini wajichague wenyewe na makafiri wajichague wenyewe. Ni rahisi dini zote kuungana kuliko kukubali kuburuzwa na wanasiasa wezi kama CCM. Si unajua Tena kirefu cha CCM? Chama Cha Majambazi
Munishi2 4 years ago
Nchi ya Tanzania kwa sasa ni ya vyama vingi.Lazima CCM wakubali mawazo tofauti na ya Nyerere. Kuwaburuza watu hakutasaidia. Zanzibar hawaitaki CCM. Hiyo isiwe dhambi. Wana haki kuikataa CCM. Munishi ni mchungaji, napiga kura, washirika katika makanisa wanapiga kura. Huwezi kunizuia uhuru wangu kuzungumzia kile tunachopigia kura.
Munishi2 4 years ago