Mmiliki wa vyombo vya IPP Bw. Mengi amezungumza na vijana waliomaliza kidato cha sita na kuwataka vijana wote nchini watakaopiga kura wafanye hivyo wakichagua mabadiliko. Wasipochagua kwa sahihi basi wanapoteza haki ya kulalamika wala rushwa wakiendelea kuchaguliwa.
Link to this comment:
All Comments (0)