Tunakunjua jamvi la habari za ktn leo kwa taarifa njema kwa walimu kote nchini. Serikali imetangaza mpango wa bima utakaogharimia matibabu kwa familia zao kwa maradhi ya kulazwa na yasiyo ya kulazwa. Bima hii pia inajumuisha matibabu ya meno na uchunguzi wa maabara miongoni mwa huduma nyinginezo. Kwa taarifa kamili, huyu hapa mwanahabari frank otieno.
Link to this comment:
All Comments (0)