Mnishi tafadhali chunga sana unacho mkononi shetani asije kachukua. Ingawaje maneno yako ya siasa ina maana fulani, inakupunguzia umaarufu wako ambao ulikuwa juu sana wakati mmoja kama muimbaji wa Mungu mashuhuri. Ningependa kuamini kama mchungaji, umeitwa kuwahubiria watu wote wawe wa ODM, PNU au CCM. Unapokashifu watu wa vyama fulani basi hutaweza kuwafikia wao kwa wokovu wa Yesu. Au wachana na injili na uingie siasa. Sikiza maelezo ya wanaokujali Tafadhali.
@apostleck Nakubaliana nawe kabisa. Mimi nilimpenda yesu kutokana na nyimbo za mtumishi huyu wa Mungu Mnishi. Nilimjua Mnishi wakati moja nikipita kwa jirani nikasikia wimbo ulionipendeza sana. Ikawa kila jioni baada ya kutoka shuleni nilienda kusimama kwa dirisha ya jirani nikijifanya kumngoja mtu ili nisikize nyimbo za Mnishi kwani kwetu hatukuwa na radiokaset. Sasa niko Marekani na nilianza tena kutafuta nyimbo za Mnishi kwenye Youtube na maneno ya kisiasa sioni ikimfaa. Naanza kupoteza hamu.
@gospelgtv na hata kushambulia viongozi wa kisiasa. Hii naona inakuondoa kwenye upako wako na ile neema Mungu aliyokuitia mwanzoni. Nakusihi mtumishi, epuka kishawishi hicho cha kukufanya watu wakuone wewe kama mwanasiasa fulani mpinzani na mwenye maneno ya hasira yasiyojaa munyu ya kumtukuza Mungu. Naamini kabisa ukiendelea kujikita kwenye huduma yako hii neema ya Mungu ni kubwa tu ya kukutosha na thawabu yako ni kubwa. Tumia mtandao kuongea maneno ya kujenga kama yaliyo kwenye nyimbo hizi
@gospelgtv Mtumishi wa Mungu Munishi, ukihudumu kwa neema ile Mungu aliyeiweka juu yako una bariki watu kweli. Mungu amekupa upako wa tofauti sana, umeinua wengi, umetia moyo wengi, umefariji wengi kwa huduma yako ya uimbaji na kutoa neno la Mungu kuwaonya na kuwatahadharisha watu wa Mungu. Ujue kwamba watu wameokoka kwa huduma yako hii hata wengi wewe huwafahamu labda siku ile parapanda itakapolia ndiyo utayafahamu hayo.
Kinachosikitisha ni kujikita kwenye vita vya kisiasa. Kuishambulia CCM

stevekaputa 1 year ago

apostleck 1 year ago

inspiration...i like this song
Sebene03 2 years ago
asanteni mungu awabariki hii pambio naipenda sana
jmatungwa 2 years ago