Asalam aleykum, inshallah brother apovipi huna neno, mbona unatuchanganya kuhusu hii mada nzuri sana ya maarij, yaani kuna maarij mbili, zote zinadai kuwa namba moja kati ya sita lakini zote hazina sehemu ya pili na mtoaji mada na huyohuyo sheikh al-habib othman maalim,tusahihishia ndugu mpenzi wa kiislam, mola(sw) atakulipa kwa kazi nzuri inshaallah, vilevile bila kusahau, tafadhali ninaomba ile kanda ya ndugu yetu mpendwa sheikh Imani petro na mada ya kongamano,jazakallah kheir, asalam aleykum

chaukange 1 month ago