@Mzeepoa pole muislam haya tuambie wapi walisheherekea kuliko hivyo,wakati wake mtume wa mungu ,tuna hadithi akifunga kila j,tatu,someni waislam ama sio mtaburuzwa kila siku mpaka kaburini
Uwe ndugu hapo juu , huivi Tarikh ya Kiisilamu haata.watuletea khabari za Kimawahabi ambazo hazina hata miaka 300 haya Maulid yalikuwepo toka enzi za Mtumi S.A.A.W na Mtume akipata kusherekewa zaidi ya hivi tufanyavyo sisi...Akuongoe Allah atokane na maasia ya Kiwahabia.
UK folks representing to the fullest.masha allah,yaw need to influEnce the brothers right here in the USA to do that too............lol............big ups!
Hivyo, Mtume Muhammad Rehema na Amani juu yake, alipatapo kukaa na Sayyidna Abubakr, Omar, Uthman, Ally, Zubeir, Saad, Abdul rahman, Muadh, Salim, Ubay, Bilal, Abdullah, n.k. wakifanya hashuo hizi? Astaghfirullah! Watu wameacha ya maana ya kufanya. Hii siku ni siku aliyokufa habib wetu Muhammad jamaa wanasherehekea, siku ambayo waliompenda zaid habib Muhammad walilia siku hii. Allah awaongoe wote AMIN
maasha allah
faqi13 3 months ago
can you visualise the Prophet Sas and his sahabah like this? just think and ask youself is this islam?
abubushraa 11 months ago
Ya habibi ma shallah
sunnidawah 1 year ago
@Mzeepoa pole muislam haya tuambie wapi walisheherekea kuliko hivyo,wakati wake mtume wa mungu ,tuna hadithi akifunga kila j,tatu,someni waislam ama sio mtaburuzwa kila siku mpaka kaburini
SunnahWay 1 year ago
mashallah,
maryamhuda 2 years ago
Uwe ndugu hapo juu , huivi Tarikh ya Kiisilamu haata.watuletea khabari za Kimawahabi ambazo hazina hata miaka 300 haya Maulid yalikuwepo toka enzi za Mtumi S.A.A.W na Mtume akipata kusherekewa zaidi ya hivi tufanyavyo sisi...Akuongoe Allah atokane na maasia ya Kiwahabia.
Mzeepoa 2 years ago
UK folks representing to the fullest.masha allah,yaw need to influEnce the brothers right here in the USA to do that too............lol............big ups!
malindiboy 2 years ago
Hivyo, Mtume Muhammad Rehema na Amani juu yake, alipatapo kukaa na Sayyidna Abubakr, Omar, Uthman, Ally, Zubeir, Saad, Abdul rahman, Muadh, Salim, Ubay, Bilal, Abdullah, n.k. wakifanya hashuo hizi? Astaghfirullah! Watu wameacha ya maana ya kufanya. Hii siku ni siku aliyokufa habib wetu Muhammad jamaa wanasherehekea, siku ambayo waliompenda zaid habib Muhammad walilia siku hii. Allah awaongoe wote AMIN
ashkaw2 2 years ago