Ann Ngugi Interview with Kajairo - a local comedian. An Ngugi is the best Swahili news anchor and News Features Editor at KTN a leading media station in Kenya.
Ole wangu! Ni furaha isiyo kifani kuyasikiza haya mahojiano, hasa kumsikia ndugu Kajairo akisungumza kuhusu siasa zitumbazo. Na huyu ndugu amesimama timamu kwa lugha ya Kiswahili! Ringo langu, huyu ndugu! Salamu nampeperushia, na maombi yasio haba nikimtolea.
Ndugu Kajairo, kazi ipo yakungojea! Umepoa wapi? Mpango wako uchaguzini ujao ni upi? Mema nakutakia.
Nimefurahi kuona Kajairo anaweza kusema kiswahili sanifu. Tuachane na siasa na kukwamua jamii ki elimu, afya na uchumi bila kung'ang'ana na mikora iliyo bunge. Nafikiri twaweza kuleta mabandiliko kwa njia hiyo.
kajairo wacha kuota... rudi kwa comdy utengeneze pesa zako. kenya will never change. same leaders same ideas. unless wewe ni mmoja wao... jitetee kivyako huwezi saidia kila mtu.
tupe comedy tucheke wachana na politics za kenya hazitawahi leta maendeleo

Kimland1 1 month ago
Nini tena - hakuna warning jamaa....?
surambaya 11 months ago
you suck dude. what kind of world do you think you live in? trying is like planning to fail. just do it dude.
onestonelove 1 year ago
Thoroughly impressed by kajairo's swahili
0157jo 1 year ago
lol! kenyan Blooper
0157jo 1 year ago
Nimefurahi kuona Kajairo anaweza kusema kiswahili sanifu. Tuachane na siasa na kukwamua jamii ki elimu, afya na uchumi bila kung'ang'ana na mikora iliyo bunge. Nafikiri twaweza kuleta mabandiliko kwa njia hiyo.
mytime81 2 years ago
kajairo manze acha ujinga murume,,,,get back to what you do best.comedy.
SuperLucy69 2 years ago
kajairo wacha kuota... rudi kwa comdy utengeneze pesa zako. kenya will never change. same leaders same ideas. unless wewe ni mmoja wao... jitetee kivyako huwezi saidia kila mtu.
tupe comedy tucheke wachana na politics za kenya hazitawahi leta maendeleo
2human 2 years ago
ann box
219790 2 years ago