Abdallah Ramadhani (28), aliyekuwa mtangazaji wa Channel Ten TV na Magic FM Radio amefariki dunia Oktoba 9, 2010 katika ajali ya gari iliyotokea Jumatano Oktoba 6, 2010 mjini Beira, Msumbiji akiwa njiani kutoka Afrika Kusini kurejea Tanzania. Alikuwa akiendesha gari Toyota Prado ambayo ilipasuka tairi la mbele na kupinduka mara kadhaa.
R.I.P
phaldaz 1 year ago
may you rest in peace Abdallah.. too young jamaniii...
Gracejuliana1 1 year ago