Three days of heavy rains have flooded Dar es Salaam, Tanzania. Some sections of street are still under water. Bridges have been washed away in many areas. Several have died in low-lying informal settlements.
Hali hii ni mbaya mno na serikali yetu inabidi ijitahidi sana kuwa na plan ja jiji kwa sababu inaonekana mitaro na mifereji yakupitisha maji ni zero kabisa na mengi imeziba na kutokupitisha maji kwa urahisi. Kwahiyo hili swala lazima lihimizwe na lifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo labda itatupunguzia matatizo kama haya!

P0217 2 months ago