Alert icon
We're changing our privacy policy. This stuff matters.  Learn more  Dismiss

Dar-es-Salaam New Football National Ground

Loading...

Sign in or sign up now!
9,706
Loading...
Alert icon
Sign in or sign up now!
Alert icon

Uploaded by on Sep 30, 2007

The New Dar-es-Salaam footbal ground inaugutated by President Jakaya Kikwete

Category:

Sports

Tags:

License:

Standard YouTube License

  • likes, 0 dislikes

Link to this comment:

Share to:

Uploader Comments (allyabdulrahman)

  • sooo sory but i kno kuna wabongo wengine who jus hav a passion for destruction.....i giv dat stadium a month!!! lolzzz :P

  • Wameishaanza ku-pack magari hapo uwanjani kwenye nyasi!

  • Tanzania ina heshima yake pamoja na umaskini huwezi mkulinganisha na nchi hizo. Ethiopia wameendelea katika biashara ya Airlines wakati Tanzania hiyo biashara imewashinda. Wakti nchi hizo amani bado ni tatizo Tanzania iko mbele kushinda nchi nyingi za Africa kwa democracy

  • wewe utakula democracy

  • Bila kula democracy hujaishi

see all

All Comments (20)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • nice.

  • Acha kuandika upumbavu. Ukweli wa nchi yo yo te ya Africa ambayo imejaribu kufuata njia yake yenyewe ni lazima inanzie chini. Usidanganywe na maendeleo ambayo yanawalenga wazungu wachahce katika nchi eti kwa kipimo cha GDP. Kama GDP ina maana basi kusingekuwa na vurumai za kudai Uhuru.Zingine zina uhuru lakini bado watu wao wanateseka. Zimbabwe na mapanga yaliyotokea Kenya ni mfano tu kwamba tuna mambo ya kurekebisha.

  • mhh

  • listen man tz is from africa alright... n talkin like tz is a european country... frankly speakin being where we are is quite a fleet 4 us coz it only took us 46 yrs 2 build a 60 000 capacity stadium u cant compare tz n africa as a whole 2 the rest of the world thats ignorant talk aite ... u compare tz to other african countries and if u travel alot i think u should b able 2 tell dat tz is amongst d best countries in africa.. once again... BONGO BIG UP!!!!!

  • watanzania smart kwa mdomo tu

    watanzania sasa ndio waamka usingizi miaka 46

    tangu uhuru hata siku moja hatujafanya vizuri katika international soccer sisi ni kushirika tu. watu wote wa planet hii wata move to mars or jupiter watanzania watabaki hapahapa duniani amkeni fungua macho wake up from coma

  • Bongo big up kabisa ... we have d biggest stadium in east africa ... best football jersy ... a team that just qualified to d african cup of nations after 28 yrs with players that play in our local league only. well this just shows how much we love football n how our strong our local league is ... coz i mean pick any other team dey all got players who get trained abroad but we make our own team bongo way!!!!!!... Hongera Taifa Stars

  • oyaa usiongee sana kila mtu ana fani zake bwana, wakenya wamejishirikisha kwenye mambo ya olympic ndio maana waona wanafanya vizuri. Bongo ndio kwanza twaanza kuwa makini kwenye mpira na 4 d first time in 20 yrs tumeingia african cup of nations n plus tupo na uwanja mkubwa kabisa east africa ambao hizo nchini unazo taja hawatopata karibuni .... kwahiyo ..... BIG UP BONGO!!!!!!

Loading...
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more