Uploaded videos
1-10 of 231-
Marafiki wa Regia; Mzee Mtema na JF wakutana
mwanakijiji
113 views
Imeamuliwa kuunda Foundation kuendeleza kazi alizosimamia Regia Mtema. Mkutano ulifanyika British Council na kuhudhuriwa na wanafamilia na marafiki wengi. Hapa ni mwisho wa...
-
Kikwete atembelea watu wa "Mabondeni"
mwanakijiji
308 views
Baada ya mafuriko kupiga masaa zaidi ya 36 baadaye Rais Kikwete ametembelea wananchi walionusurika na mafuriko na kuwamwagia lawama- "kwanini wanajenga mabondeni"...
-
Taarifa ya TBC1 Kuhusu Mafuriko ya Dar
mwanakijiji
1,871 views
Ripoti ya kina ya mafuriko yaliyogubika JIji la Dar na sehemu nyingine za Tanzania kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.
-
Ndoto ya Uhuru Haijatimia: Miaka 50 ya Majuto?
mwanakijiji
303 views
Tunaposherekea miaka hamsini ya Uhuru na uwepo wetu kama taifa nina maswali machache ambayo ningependa wasikilizaji wangu wajiulize. Je tunayo sababu kweli ya kuadhimisha?...
-
Aljazeera-Wafichua Mauaji ya Maalbino Tanzania
mwanakijiji
977 views
The Al-Jazeera Channel went undercover in Tanzania to expose the inhuman business of trading albino body parts for traditional concoction that supposedly bring business luck.
-
Kikwete akubali kukutana na CDM; Mataka kizimbani
mwanakijiji
389 views
Sehemu ya Taarifa ya habari ya ITV leo
-
Nape akanusha tetesi za watu kutimuliwa
mwanakijiji
106 views
K/Mwenezi wa CCM amewaambia waandishi wasubiri taarifa sahihi kutoka kwake kwani siyo maamuzi yote yanaishia kwenye Kamati Kuu. Maamuzi mengine yanashubiri vikao vya juu ka...
-
Nape Nnauye kwenye Kamati Kuu
mwanakijiji
96 views
Katibu Mwenezi wa CCM Nape Nnauye azungumzie ajenda mbalimbali za mkutano wa Kamati Kuu ya CCM, Dodoma.
-
Waziri ya Mambo ya Ndani akizungumzia tishio la Al-Shabaab
mwanakijiji
125 views
Katika kipindi cha Dakika 45 kwenye ITV
-
Kikwete akizungumza na Wazee wa Dar Nov 18
mwanakijiji
1,109 views
Suala la mjadala wa Katiba Mpya limemlazimisha Rais kuzungumza na wananchi kupitia kuzungumza na wazee wa Dar
Advertisement










Play all(231)